Uncategorized

Simba wapigwa ‘Hamsa’ 5 – 0 mbele ya AS Vita michuano ya Klabu bingwa Afrika

Wawakilishi wa nchi kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika Simba SC wamekubali kipigo cha mabao 5 – 0 mbele ya AS Vita ya DR Congo.

Mlindalango wa Simba Aishi Manula akionekana haamini matokeo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents