AY ameamua kuitoa mapema zawadi ya siku ya wapendanao kwa kuachia wimbo mpya ‘ Asante’ aliomshirikisha Dela. Katika wimbo huu uliotengenezwa na Marco Chali, sauti ya Diamond Platnumz pia inasikika mwishoni. Usikilize hapa.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
New Video: Jamwe He Ft Chege -NadoJanuary 17, 2018 - 12:44 am
-
Video: Ivrah – TusheherekeeDecember 25, 2017 - 5:01 pm