Siasa

Spika Ndugai amtaka Jerry Slaa aombe msamaha hadharani (+ Video)

Baada ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutoa azimio kuhusu shauri la mbunge wa Ukonga Jerry Silaa asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili mfululizo ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Job Ndugai alimtaka Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa kuomba msamaha hadharani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents