Burudani

Suma Mnazaleti apata mtoto wa kike

Rapper Suma Mnazaleti amepata mtoto wa kike baada ya mke wake kuteseka kwa uchungu kwa siku tatu. Mtoto huyo amezaliwa katika hospitali ya Palestina jijini Dar es Saalam.

Suma

Suma ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa ni mtu mwenye furaha na kwamba hiyo ni hatua muhimu katika maisha yake.

“Nashukuru Mungu mimepata mtoto wa kike usiku wa jana,ingawa mke wangu ameteseka kwa uchungu ndani ya siku tatu Mungu amesaidia jana amejifungua salama katika hospitali ya Palestina. Nimefurahi sana kupata mtoto kwasababu ni moja ya mafanikio katika maisha. Kwahiyo sasa hivi tupo na mgeni ndani ya familia yetu.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents