Michezo

Swansea ya mtimua Bob Bradley

Kocha wa klabu ya Swansea ambaye ni raia wa Wamarekani, Bob Bradley ametimuliwa kazi katika timu hiyo akiwa ameitumikia kwa muda wa siku 85 tu.

Baada ya kipigo cha 4-1 alichopokea kutoka kwa West Ham , kilikuwa ni cha 7 katika mechi 11 alizoiongoza Swansea tangu kuchukua kibarua hicho kutoka kwa Francesco Guidolin Oktoba,3,2016.

Swansea sasa inakamata nafasi ya 19 kwenye msimamo wa EPL ikiwa na pointi 12

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents