Michezo

Taarifa mbaya kwa mashabiki wa Arsenal kuhusu Cazorla

Mchezaji wa klabu ya Arsenal na kiungo wa kimataifa wa Hispania, Santi Cazorla atafanyiwa upasuaji katika kifundo cha mguu wake wa kulia na hivyo atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu.

3aeeab8200000578-3991180-image-a-54_1480615728152

Cazorla ambaye anamiaka 31, aliumia katika ushindi wa 6-0 wa mechi ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Ludogorets kwenye uwanja wa Emirates Oktoba 19.

Taarifa iliyo tolewa na klabu ya Arsenal imesema kuwa mchezaji huyo atasafiri wiki ijayo kuelekea nchini Sweden kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji huo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents