Burudani

Taylor Swift ampiku Kim Kardashian taji la staa mwenye followers wengi zaidi Instagram

Muimbaji Taylor Swift amefanikiwa kumuondoa Kim Kardashian na kuwa ndiye staa mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram kwa sasa.

taylor and kim

Taylor amefikisha zaidi ya followers 45,655,078 na kumuacha Kim aliyesheherekea kufikisha followers milioni 45 wiki iliyopita. Kwa sasa Kim K ana followers 45,571,132.

Kabla ya hapo Taylor alikuwa katika nafasi ya tatu huku juu yake wakiwepo Beyonce na Kim K. Beyonce kwa sasa ana followers 45,080,613.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents