Burudani

Trailer: Filamu ya maisha ya Obama ‘Barry’ wakati akiwa chuoni

Kampuni ya Netflix imeonyesha kipande cha filamu ya ‘Barry’ inayoonyesha maisha ya Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama.

14727528_317736535278721_5863069583870525440_n

Muigizaji Devon Terrell wa Marekani mwenye asili ya Australia ameigiza kama Obama kwenye filamu hiyo iliyoongozwa na Vikram Gandhi.

Filamu hiyo imeonyesha maisha ya Obama aliyokuwa akiishi wakati alipokuwa anasoma kwenye chuo cha Columbia University. “I thought if the director says I’m the right person then I’m the right person to tell the story,” amesema Terrell.

Tazama hapa chini kipande cha video hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents