Videos
Video: Bondia Thomas Mashali apigwa KO na Mrusi, Apti Ustarkhanov
Bondia wa Tanzania, Thomas Mashali amepigwa kwa knock out kwenye raundi ya pili na bondia wa Urusi, Apti Ustarkhanov aka The Tiger.
https://www.youtube.com/watch?v=XP5YpxA2aL4
Pambano hilo lililohudhuriwa na umati mkubwa wa watu lilifanyika wikiendi iliyoisha nchini Urusi. Lilikuwa ni pambano la ubingwa uzito wa kati wa mabara.
Lilifanyika Colosseum Sport Hall, mjini Grozny, Urusi.