Burudani

Video: Harmorapa akanusha tetesi za kufunga ndoa na mwanamke wa Mwanza ‘chaguo langu ni Wema’

Rapa Harmorapa amefunguka kuzungumzia vitu vitatu vinavyoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yeye, moja ni ishu ya kufunga ndoa, kuchora tattoo ya jina la Wema Sepetu shingoni kwake na tatu kauli kuhusu ishu ya Harmonize baada ya kuonyesha kukubali harakati zake.

Related Articles

37 Comments

  1. SASA Nyie msiwi mnacheka na Ku comment mambo yasiokuwa na mshangao ,,kwani uyu dogo awezi kumdumu wema ,kwani wema ninani? Jibu ni mwanamke kama wengine na chajabu sana anapokua na towa isia zake za ukweli kabisa nyie mnajifanya kumcheka,,sio safi iyo,,wema kama ni mjanja ajibu penzi LA harmorapa kwa araka ,aho wakina sultani na madiamond wako awatakupa kitu,,usishangai mnaowana na uyo dogo na mnazaa mtoto na serikali ina wapo deal nono

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents