Habari

Video: Madumu 200 ya petrol yakamatwa ajali ya moto Morogoro – IGP SIRRO

IGP Sirro atoa kauli ajali ya moto Morogoro “Tumewakamata watu wakiwa na madumu 200 ya mafuta ya petrol, tutahakikisha wanachukuliwa hatau za kisheria”

Ameyasema hayo mchana wa leo akiwa katika mochwari ya hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati ndugu na jamaa wakitambua miili ya ndugu zao kabla ya mazishi hapo jioni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents