Videos
Video Mpya kutoka kwa msanii wa Dk. Shika, Itazame hapa
Msanii muziki Bongo, Godson ambaye anasimamiwa na Dk. Shika ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Relax’ ambao amemshirikisha Beka Flavour, video imeongozwa na Kwetu Studio. Itazame hapa.