BurudaniVideos

Video: Sheila Mwanyigha aja na #SheilaLivesOutLoud

Mtangazaji wa redio na TV na muimbaji wa Kenya, Sheila Mwanyigha anarejea tena kwenye screen za mashabiki wake waliommiss.

13151329_494185057446614_882835406_n

Awamu hii Sheila anakuja na show yake iitwayo Sheila Lives Out Loud. Show hiyo itakuwa ikipatikana kwenye channel yake ya Youtube. Hajasema bado kama itaruka kwenye TV na itaanza lini.

Sheila alijipatia mashabiki kwenye kipindi cha AM Live cha NTV. Mtazame hapo chini akielezea zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents