Promotion

Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo akabidhi vifaa vya michezo kwa shule za sekondari Dar

_MG_0273
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Prof. Elisante Ole Gabriel, Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania(wa tatu kushoto),Salum Mwalim

_MG_0292
Dk. Fenella Mukangara (wa kwanza kushoto) na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom (wa pili kushoto), Salum
Mwalim,Wakikabidhi baadhi ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Mnazi Mmoja, Shaha Bakari(kulia)Vifaa hivyo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano yatakayoanza hivi karibuni yatahusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Akishuhudia makabidhiano hayo wapili kutoka
kushoto ni Mwalimu michezo wa shule hiyo, Alex Dumien.

_MG_0299
Mh. Dk. Fenella Mukangara (kushoto)Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania (wa pili kushoto), Salum Mwalim wakikabidhi vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Mugabe, Juma Shabani (kulia)Vifaa hivyo vimetolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano yatakayo anza hivi karibuni na kuhusisha shule za sekondari kumi na mbili(12) za jijini Dar es Salaam.Akishuhudia wapili kutoka kushoto ni Mwalimu wa shule hiyo, Farouk Kaburwa

_MG_0306
Dk. Fenella Mukangara akishuhudia Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania(kulia) Salum Mwalim akikabidhi mfano wa hundi ya Milioni moja(1,000,000) kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya (wa pili kushoto) fedha hizo zitatumika katika maandalizi wakati wa mashindano ya michezo shule za sekondari za Mkoa wa Dar es Salaam.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Prof. Elisante Ole Gabriel

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents