Tia Kitu. Pata Vituuz!

Aliyekuwa kiongozi wa Yanga atunukiwa Udaktari, Afunguka haya kuhusu Yanga “Waliniona sifai” – Video

Aliyekuwa kiongozi wa Yanga atunukiwa Udaktari, Afunguka haya kuhusu Yanga "Waliniona sifai" - Video

Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Tobias Lingalangala siku ya leo ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (DOCTOR OF HUMANITY) na Chuo cha LEAD IMAPACT UNIVERSITY kilichopo Colorado nchini Marekani kutokana na kuhudi zake za kuendelea kusaidia Jamii.


Tobias amekuwa mstari wa Mbele sana kusaidia jamii akitolea mfano Mkoani Njombe kwa kuwapelekea maji pamoja na kuwaletea Mbegu za mimea na N’gombe wa Kisasa. Mbali na hilo ameongea haya kidogo kuhusu klabu ya Yanga.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW