Burudani ya Michezo Live

Bongo ZOZO ampima Kaseja, Ni Do or Die mazoezi ya mwisho ya Taifa Stars (+video)

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Mkapa hapo jana jioni ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa dhidi ya Equatorial Guinea kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon 2021. Kocha Mkuu wa timu hiyo,  Etienne Ndayiragije amesmea wamejipanga kuhakikisha wanafanikiwa kupata matokeo huku moja kati ya shabiki kindaki ndaki Muingere Bongo Zozo ambaye ametoka kwao mpaka kufika Tanzania kwaajili ya kushuhudia mechi hiyo alipata bahati ya kukutana na baadhi ya wachezaji.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW