Technology

Facebook sasa ina watumiaji zaidi ya bilioni 1.65

Mtandao wa kijamii wa Facebook sasa una watumiaji zaidi bilioni 1.65 duniani kote.

zuckerberg-1940x1164

Kati ya watumiaji hao, bilioni moja wanautumia kwa simu.

“Tumekuwa na mwanzo mzuri kwenye mwaka,” CEO na mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg alisema. “Kwa sasa tuna zaidi ya watumiaji bilioni 1.65 na zaidi ya watumiaji bilioni moja kila siku kwenye simu.”

Katika kipindi cha mwaka mmoja mtandao huo umeingiza mapato ya dola bilioni 1.51.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents