Tragedy

Kocha Mziray Hatunaye Tena

Habari za kusikitisha zimetufikia kwamba Kocha wa viungo wa Simba, Syllersaid Mziray, amefariki dunia baada ya kulazwa hospitali jijini Dar es Salaam akitatizwa na ugonjwa wa Malaria.

 

B5 inaiombea ndugu jamaa na marafiki wa marehemu pamoja na uongozi mzima wa timu ya Simba na wachezaji wake kwa wakati huu mgumu.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents