Burudani ya Michezo Live

Kocha wa Yanga atishia Kuacha kufundisha kisa vijana wa Kagera Sugar (+Video)

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Mbelgiji, Luc Eymael ameonesha kukerwa kwa kile anachoamini kuwa baadhi ya wachezaji wa Kagera Sugar walikuwa wakipoteza muda lakini pia maamuzi ya kadi iliyotolewa na mwamuzi wa mchezo.

Akiongea na Waandishi wa Habari mara baada ya kupokea kipigo chake cha kwanza kwenye ligi kuu hasa ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kama kocha mpya, Mbelgiji huyo amesema kuwa

”Mimi binafsi nimeona penati moja, mkono ukiugusa mpira, tukipata kadi ya njano ya moja kwa moja. Mara kadhaa kipa akipoteza muda chini kama halito sitishwa hilo hakika nitaacha kufundisha kwa sababu mimi napenda burudani na soka.” akisema huku akionyesha kutoridhishwa kwake na viitendo hivyo.

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW