Michezo

Mbao FC yakabidhiwa basi (Video +Picha)

Mdhamini Mkuu wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza ambaye ni GF Trucks & Equipment leo imekabidhi basi litakalo tumika katika shughuli za timu kufuatia kusaini mkataba wa kuidhamini Agosti 25 mwaka huu.

 

GF Trucks imeikabidhi timu ya Mbao FC inayoshiriki ligi kuu basi lenye jumla ya gharama shilingi milioni 100 katika ofisi zao zilizopo Vingunguti Pugu road Jijini Dar es salaam.

 

Mgeni rasmi katika ghafla hiyo ya kukabidhiwa kwa basi klabu ya Mbao FC alikuwa ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angella Mabula ambaye amekuwa akiunga mkono michezo katika mkoa wa Mwanza alikuwepo kukabidhiwa

Zifuatazo ni picha za matukio

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents