Burudani ya Michezo Live

Mbosso afunguka kifo cha mzazi mwenzake Boss Martha “tulikuwa tunatafuta nyumba” (Video)

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB Mbosso amefunguka kuzungumza kifo za mzazi mwenzake Mchekeshaji Boss Martha ambaye amefariki mapema leo baada ya kuugua ghafla.

Muimbaji huyo amedai ni kweli alizaa na mrembo huyo mtoto mmoja wa kiume lakini walikubaliana wasilizungumze hilo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW