Burudani

New Video: Nkunda Star – Dimaga

By  | 

Video ya rapper Nkunda Star ya wimbo wake Dimaga (Shika) wenye mahadhi ya trap na ametumia Kisukuma. Wimbo umetayarishwa na Allan Mapigo & Kise P katika studio za MDB huku video ikiongozwa na Minzi Mims.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments