Picha
Picha: Jay-Z, Ludacris, Monica, Usher, Young Jeezy na wengine waipa shavu So So Def party
Producer Jermaine Dupri jana aliandaa show ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanziswa kwa label yake ya So So Def iliyowatoa wasanii kibao. Show hiyo ilifanyika jijini Atlanta ambapo wasanii waliotumbuiza walikuwa ni pamoja Da Brat, Jagged Edge, Bow Wow, Xscape, na wengine.
Jay-Z, Usher na Mariash Carey nao walihudhuria kushuhudia show hiyo ya nguvu. Hizi ni picha za party hiyo ya So So Def.