Picha: Man City watua Abu Dhabi kuweka kambi ya kunyakua EPL

Klabu ya soka ya Manchester City imetua Abu Dhabi kwa ajili ya kuweka kambi ya mazoezi.

Man City wameenda kuweka kambi hiyo kwa ajili ya kufanya vizuri katika michezo ya ligi kuu Uingereza ikiwa wamebakiza mechi nane kumaliza ligi hiyo huku wakiwa na nafasi kubwa ya kushinda ubingwa huo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW