Burudani

Picha: Vera Sidika aonyesha jeuri ya fedha

By  | 

Sio tu uzuri bali hata fedha anazo pia, huyu ni video vixen kutoka Kenya, Vera Sidika ameanua kuonyesha jeuri ya fedha kwa kufanya matanuzi.

Vera ambaye kwa sasa yupo Uingereza baada ya kutoka Marekani ameonyesha kufuru ya hatari kupitia mtandao wa Instagram kwa kuweka picha akiwa nafanya matanuzi ya kibabe, kwa kula bata na kufanya shopping ya hatari.

 

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments