Burudani

Picha: Zari atua Kenya, atakabidhiwa Range Rover?

Hatimaye Zari The Bosslady ametua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya jioni hii.

Mrembo huyo ametua nchini humo kwaajili ya tamasha la Colour Purple ambalo litafanyikaJumamosi hii ya Mei 12 kwenye viwanja vya Uhuru Garden.

Hata hivyo watu wengi wanasubiri kama Zari atakamiziwa funguo ya gari aina ya Sport ya mwaka 2017 kutoka kwa msanii wa Injili Ringtone Apoko ambaye ameonekana kutamani kuwa na mrembo huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents