DStv Inogilee!

Sikiliza wimbo mpya wa Producer wa Samaki ya Galatone, Chrixtone

Orodha ya watayarishaji muziki ambao wanaingia kwenye kuimba inazidi kuongezeka, Chrixtone kutoka Flava Records ambaye amewahi kutengeneza ngoma kali kibao ikiwemo ‘Samaki’ ya Galatone amefuata nyayo hizo.

Chrixtone ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘De Lima’ ambao ameutayarisha mwenyewe. Usikilize wimbo huo hapa chini.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW