Technology

TECNO Spark 5Pro yatua sokoni, fahamu sifa zake (+Video)

Kampuni kinara ya simu za mkononi nchini TECNO, imezindua rasmi simu yake mpya Spark 5Pro yenye uwezo wa hali ya juu na usiyohitaji kununua memory card.

Spark 5Pro ndiyo mkombozi wa wapenzi wa simu janja ‘Samrtphone’ uwezo wake wa hali ya juu unazifanya simu nyingine zikae chonjo

Kwa sasa zinapatikana katika maduka yote ya Tecno ama unaweza kutembelea katika akaunti zao za kijamii @tecnomobiletanzania

Ukubwa wake ni GB 64 , Ram 4 GB, Screen kubwa inches 6.6, Battery 5000 mAh, Camera 4(16MP+2MP+2MP+AI Lens) na MP8 za selfie. Kutokana na sifa hizo chache TECNO Spark 5pro ni mkali wa Spark zote za awali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents