Michezo

Yanga yachukua Tusker

Image
Yanga ni mabingwa wa kombe la Tusker kupitia Boniface ambani na Mrisho Ngassa. Yanga, ambao kwa cha kwanza cha mchezo walikuwa nyuma kwa goli moja dhidi ya Sofapaka, walisawazisha goli hilo kupitia kwa Ambani katika bakika ya 84 na baadaye Ngassa akamaliza ubishi dakika ya 89

Pamoja na kombe, yanga wamepata medali za dhahabu na shilingi milioni 40 huku Jerryson Tegete akiibuka mfungaji bora na kujinyakulia shilingi milioni 2

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents