Burudani
Video: Tazama Nisher akihojiwa kwenye kipindi cha Mkasi
Wiki iliyopita muongozaji wa video za muziki nchini, Nisher ndiye aliyekuwa mgeni kwenye kipindi cha Mkasi ambacho huruka kupitia EATV.
Nisher alifunguka mambo mengi yakiwemo ambayo hukuwa unayafahamu kuhusu yeye mwenyewe, maisha yake, familia, mapenzi na kazi. Kama kipindi kilikupita kitazame hapa.