Burudani
Video: Jibu la Ben Pol kwanini kolabo na Chidinma, Kiss Daniel hazina video
Msanii wa Bongo Flava, Ben Pol amezungumza kwanini kolabo alizofanya na wasanii Chidinma na Kiss Daniel kutoka Nigeria video zake hazijatoka hadi sasa.