Michezo
Babu wa miaka 99 kutoka Simbawanga afunguka mazito baada ya Simba kuifunga Al Ahly (+Video)
Babu wa miaka 99, vizazi 11 kutoka Simbawa Mkoa wa Rukwa atua kwa Mkapa na matokeo yake mfukoni.
“Nilisema lazima tushinde hata goli moja, Al Ahly wanafungika, na kweli matokeo yamekuwa hivyo.”- Babu wa #simbasc kama alivyojitambulisha akiwa na furaha lukuki.