Awards

Rayvanny alivyoingia red capert tuzo za MTV EMA

Usiku huu nchini Hungary tukio linalofanyika ni lile moja tu la MTV EMA na mmoja ya wasanii waliopanda jukwaani ni @rayvanny ambapo ameimba ngoma yake na @maluma ya #Mamatetema.

Bofya hapa 

Baada ya kusalimiana na wapenda burudani waliofika eneo la tukio ulifika muda wa Redcapert na hivi ndivyo ilivyokuwa.

Bofya hapa

 

Moja ya mahojiano ambayo @rayvanny ametafanya na moja ya media katika jiji la Budabest nchini Hungary katika tukio la utoaji tuzo za MTV EMA 2021

bofya hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents