Pata 5 za Mesen Selekta
Katika kuonyesha muziki wa Tanzania kukua hivi sasa mziki huo umekuwa ukifanywa kwa hadhi ya juu huku kukiwa na tofauti kidogo katika biti za ndani ya nchi yetu ambazo zinagongwa na madj wetu, na zile zinzogogwa na Mproduza wa nje.
Miongoni mwa kijana ambaye ni mkali katika kufua biti hizo ni Mesen Selekta, ambaye amekuwa akifanya kazi nzuri na hapa juzi nilipomtembelea ilibidi nichukua hizi nyimbo ambazo mimi napenda kuziita Top Five na Mesen Selekta, ila zingine ingia kwenye sehemu ya miziki utajua muziki sasa unaelekea wapi.
Hebu sikiliza kwanza…….
*(1)Adam Mchovu-John
{mmp3}Mchomvu-john.mp3{/mmp3}
*(2)Mesen-Nyamu
{mmp3}Mesen-nyamu.mp3{/mmp3}
*(3)Mexicana-Full Ng’aeng’ae
{mmp3}Bagdadftchibwa,tanah-kumpodumpa.mp3{/mmp3}
*(4)Country Boy Feat Linah-Mateso
{mmp3}Countryboyfeatlinah-mateso.mp3{/mmp3}
*(5)Solo Thang feat Linah
{mmp3}Soloftlinah.mp3{/mmp3}