Mwanamuziki na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya Bob JuniorĀ ukipenda muite Mr Chocolate Flevour kutoka Sharobaro RecordĀ ameachia video ya wimbo wake wa Nanii. Wimbo huo umefanya vizuri katika Audio na sasa kitu hicho kipo kwenye chupa.
Nanii-Bob Junior
{hwdvs-player}id=1653|width=560|height=340{/hwdvs-player}