Burudani

Adam Juma – Nimepigiwa simu nyingi jina la Next Level ya RayVanny

Bongo5 wiki hii ilifanya mahojiano na @adamjumanxl mtayarishaji mkongwe wa video za muziki nchini Tanzania ambapo alifunguka vitu mbalimbali.

Mtayarishaji huyo ambaye amefungua njia kwa wasanii wengi nchini amesema ana kazi nyingi amefanya ila hazijamnufaisha kwa chochote kutokana watu kuchukualiana poa.

Ametolea mfano jinsi brand yake ya Next Level ilivyochukuliwa na RayVanny bila makubaliano yoyote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents