Michezo

Aguero aichakaza Chelsea, Man City wakitwaa ubingwa wa ngao ya hisani mwaka 2018 nchini Uingereza

Klabu ya Manchester City imetwaa ubingwa wa ngao ya hisani kwa mwaka 2018 kwa kuitwanga Chelsea goli 2-0 katika mchezo ambao ulikuwa umehudhuriwa na mashabiki wachache zaidi kunako dimba la Wembley.

Magoli yote mawili ya Manchester City yamefungwa na Sergio Kun Aguero kunako dakika ya 13 kipindi cha kwanza na dakika ya 58.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents