Burudani

Audio: Mfahamu vyema rapper wa kike Chemical

Katika kiwanda cha muziki ambacho kina rappers wa kike wachache, Chemical amekuja kwa kishindo na ameonekana kukubalika na wengi. Huenda ukawa unamfahamu juu juu tu, mfahamu zaidi kwa kusikiliza kipindi changu cha Chill na Sky hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents