Burudani

Audio: Wimbo wa Eve na Madonna uliorekodiwa 2008 ‘The Beat Is So Crazy’ umevuja (prod. By Pharrell)

Weekend iliyopita wimbo huu ambao umefanywa na mastaa watatu, rapper Eve, Madonna na Pharrell aliyesimamia production umevuja mtandaoni. ‘The Beat is So Crazy’ ulitengenezwa miaka sita iliyopita na ilikuwa itoke kwenye album ya Madonna ‘Hard Candy’ ya mwaka 2008.

Pharrell-Eve-Madonna

Baadae wimbo huo uliondolewa kwenye album ya ‘Hard Candy’ na badala yake ukawekwa kwenye album ya Eve ‘Here I Am’ ambayo hata hivyo nayo haikutoka. Usikilize hapa

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/163448765″ params=”color=ff5500″ width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents