Burudani

Christina Aguilera ajifungua mtoto wa kike

Christina Aguilera na mchumba wake Matt Rutler wamepata mtoto wao wa kwanza kama couple, baada ya mwimbaji huyo kujifungua mtoto wa kike Jumamosi (Agosti 16), US Weekly wamethibitisha.

Christina-aguilera

Mshindi huyo wa Grammy mwenye miaka 33 amejifungua kwa njia ya upasuaji katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center iliyoko Los Angeles, Marekani.

Huyu ni mtoto wa pili kwa Aguilera ambaye tayari ana mtoto wa kiume aitwaye Max mwenye umri wa miaka 6, aliyempata na mume wake aliyepita Jordan Bratman, na ni mtoto wa kwanza kwa mchumba wake Rutler.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents