Bongo5 ExclusivesDiamond PlatnumzHabari
Diamond ampatia mlinda mlango wa Yanga Diarra dola 4200
Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul @diamondplatnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga @djiguidiarraofficial
Diamond alitoa ahadi hiyo wakati klabu ya Yanga ikichuana na ASM Alger katika mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho ambapo katika mchezo huo Golikipa huyo aliondoka na Tuzo ya Mchezaji bora wa Mechi
Diamond amemkabidhi kipa Diarra kiasi cha Dola za kimarekani 4200 sawa na zaidi ya milioni 10 za Tanzania