Michezo

Fabregas na mpenzi wake wapata mtoto wa kiume

Mchezaji wa klabu ya Chelsea Cesc Fabregas April 5, alithibitisha kuwa siku ya jumanne usiku yeye na mpenzi wake Daniela Semaan wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume, anaitwa Leonardo Fabregas Semaan.

Huyu ni mtoto wao watatu na wakwanza wakiume.
Mtoto wao wa kwanza ni Lia aliyezaliwa mwaka 2013, wapili ni Capri aliyezaliwa 2015.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents