Videos

Filamu aliyoigiza Trey Songz ‘Texas Chainsaw 3D’ yaongoza kwenye Box Office

texas-chainsaw-3d-03_510x336

Filamu zilizotengenezwa kwa bajeti kubwa “Django Unchained” na “Les Miserables” zimejikuta zikiangukia pua wiki hii baada ya kuzidiwa na filamu ya kutisha iliyotengenezwa chini ya Lionsgate “Texas Chainsaw 3D.”

“Texas Chainsaw” imekamata nafasi ya kwanza kwenye box office nchini Marekani weekend iliyopita kwa kuingiza dola milioni 23 katika majumba 2,654 ya kuoneshea sinema nchini Marekani.

Sababu za kufanya vizuri kwa filamu hiyo ni kutokana na Trey Songz kuwemo.Filamu aliyoigiza Jamie Foxx “Django Unchained iliingiza dola milioni 20 ikiwa imetengenezwa kwa bajeti ya dola milioni 100.

Tazama Trailer ya Texas Chainsaw 3D hapa:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents