Siasa

Joshua Nassari achukua fomu kutia nia kugombea jimbo la Arumeru baada ya kuhamia CCM akitokea CHADEMA

Joshua Nassari amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arumeru kupitia  Chama cha Mapinduzi CCM,

Awali kabla hajavuliwa Ubunge na Spika Ndugai, Nassari alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia  Chama cah Demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents