Burudani

Kimwana na duka la Manywele

duka_la_manyele
KATIKA pita pita yangu leo nika tokea njia moja ya Kinondoni Studio, na kukutana na fremu ya dula ka Nywele na vipodozi la mshindi wa kwanza wa Kimwana Manywele wa Twanga Pepeta mwaka 2011 kwa 2012 Marry Khamisi. nikavutiwa sana kulikuta katika hali ambayo niwaweza kuhita ni ya maandalizi katika kuliweka sawa tangu kimwana huyo alipojitwalia taji hilo.

kimwana_marry_khamis
Nikakumbuka mwana dada huyo alipovikwa taji hilo, na kukabidhiwa funguo kabla ya kuchukuliwa na bendi ya twanga Pepeta kwaajili ya kuziba pengo la Asha Madinda.

Kimwana_mgongo

Nikakumbuka tena siku ambayo alimwaga jasho lake kwaajili ya kupata zawadi hiyo, kabla ya kupandfa katika jukwaa la Bue Pearl pale Ubungo Plaza siku ya fainali. Kweli alikuwa shujaa ambapo lazima mmoja ashinde na apate zawadi ambayo aliwania kama ilivyo kwa wengine.

Mwisho nikaondoka na kuachana na habari za fremu za duka la kimwana manyewele…….

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents