Burudani

Kumuoa Frida Amani ni Infinix yako tu Familia yatoa neno – (Video)

Kwenye Uzinduzi wa Simu ya Infinix Note 40 Watangazaji Meena Ally na Frida Amani walikuwepo kama Influencers.

Walipata wasaa wa kuongea na wana Habari na kuzungumzia simu mpya ya Infinix Note 40.

 

Meena Ally alivyokubali hiyo simu kasema anamuozesha mdogo wake Frida Amani mtu aende na Simu za Infinix za Familia nzima hakuna mambo ya Ng’ombe pale.

G nako hakuwa mbali nae alisema akiwa kama kaka mtu amelipitisha hilo, kwahiyo wanaotafuta mchumba wajipange na simu tu.

Wamezungumza kwa namnawalivyoiona simu hiyo mpya.

Video ipo Youtube ya Bongofive.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents