Burudani
Leo ni Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar
Bongo5 media group inachukua nafasi hii kuwatakia Watanzania wote sikukuu njema ya mapinduzi Zanzibar na kuakumbusha kuzidi kudumisha uhuru,umoja na amani.
Mungu Ibariki Zanzibar, Mungu Ibariki Tanzania.