Michezo

Majibu ya Guardiola baada ya story nyingi kuwa alikataa kumpa mkono Fabregas

Kocha wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola baada ya story nyingi kuwa alikataa kumpa mkono mchezaji Cesc Fabregas baada ya mechi ya Jumamosi kati ya Manchester City dhidi ya Chelsea, story nyingi zilitokea kuhusu jambo hilo.

pep-371105

Kitendo kile kilichukulia kama ni kuonyesha kukasilishwa na alichofanya Cesc kwa kumsababishia mchezaji Fernandinho kupewa kadi nyekundu na nakutolewa.

Waandishi wa habari walimuuliza swali hilo kocha Pep na hili ndio jibu lake “Nilimsalimia Cesc Fabregas tukiwa kwenye changing room.Sikuweza kumuona pale uwanjani wakati naongea na wachezaji wangu”.

Baada ya mechi hiyo kumalizika Pep alikua yupo bize kusalimiana na watu mbalimbali ikiwemo kuwapa mikono wachezaji wake.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents