Tragedy

Picha: Marehemu Geez Mabovu azikwa Mlolo, Iringa

Mazishi ya rapper Geez Mabovu yamefanyika jioni ya Alhamis ya wiki hii kwenye makaburi yaliyopo eneo la Mlolo mjini Iringa. Geez ambaye jina lake ni Ahmed Allly Upete amezikwa kiislamu.

10808584_1545813588967852_420966342_n
Joh Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo

Wengine waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi. Geez alifariki usiku wa jana akiwa kwao mjini humo baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi yake.

10173627_1561805407366930_5764485573381094765_n

10329182_380643802111441_6894872864089112792_n

10409016_1561870684027069_3993993120066250540_n

10438512_1510324959236685_4839726447827058892_n

10450797_1510324465903401_428167098034820183_n

10614141_380650472110774_3896555446708679552_n

10615552_399796790173737_6345369378150010382_n

10686605_298261360370948_512930314272210538_n

10801602_399795780173838_4035945261332318381_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents