Burudani

Mashabiki watania kuhusu ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian kufikisha siku 73, ‘eti’ imevunja rekodi!

Ndoa ya mastar Kanye West na Kim Kardashian Jumapili iliyopita ilifikisha siku 73 toka ifungwe, na kufanya waingie kwenye vichwa vya habari wiki hii. Sababu kubwa ya ndoa ya wazazi wa North kuvuka siku 73 kuwa ‘big deal’, ni kuwa ‘eti’ imevunja rekodi ya ndoa ya Kim Kardashian na aliyekuwa mume wake wa pili Kris Humphries ambayo ilivunjika baada ya siku 72 toka ifungwe 2011.

Kim and Kanye

Hizi ni baadhi ya tweet za mashabiki wakitania kuhusu ndoa hiyo kufikisha siku 73 ikiwa imara.

-Kim Karadashian has been married for 73 days now. She has broken her previous record of 72 days. Kanye West must have done some black magic.

-Kim K & Kanye made it to 73 days of marriage. What is your secret?!?!?!

-Congrats @KimKardashian on 73 days married! Next milestone… 535 days… the amount of time it took to divorce Kris Humphries #Soulmates

-KIM & KANYE HAVE BEEN MARRIED FOR 73 DAYS SHE’S BEAT HER LAST MARRIAGE

-I don’t want to alarm you but Kim Kardashian has been married for 73 days. The apocalypse is at hand.

-yay @KimKardashian has been married for 73 days! #TillDeathDoYouPart this time?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents